Mark 9:44 — Compare Translations
12 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo, wadudu wake hawafi na moto hauzimiki.]
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni mahali ambako funza wao hawafi wala moto wao hauzimiki.]
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Humo, wadudu wake hawafi na moto hauzimiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
[Mahali ambako funza wake hawafi wala moto wake hauzimiki].
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mahali ambako funza wake hawafi wala moto wake hauzimiki.]
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo, wadudu wake hawafi na moto hauzimiki.]
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, mdudu mwenye kuwaumiza asipokufa, tena ndipo, pasipozimika moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mule muna vidudu visivyokufa, na moto usiozimika.]
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ambao funza wao hafi, wala moto hauzimiki.