Mark 9:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha likatokea wingu likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo pakatokea wingu, likawafunika, nayo sauti kutoka lile wingu ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha likatokea wingu, likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo wingu likaja na kuwafunika wote kwa kivuli chake. Na sauti ikatoka mawinguni, ikisema, “Huyu ni mwanangu mpendwa. Msikilizeni yeye.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha likatokea wingu likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha likatokea wingu likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo pakatokea wingu, likawafunika, nayo sauti kutoka katika lile wingu ikasema, “Huyu ni Mwanangu, nimpendaye, msikilizeni yeye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo pakatokea wingu, likawafunika, nayo sauti kutoka lile wingu ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha likatokea wingu, likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha likatokea wingu likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, msikilizeni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hapo pakawa na wingu, likawatia kivuli, sauti ikatoka winguni kwamba: Huyu ndiye mwanangu mpendwa, msikilizeni yeye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha likatokea wingu, likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wingu likatokea na kuwafunika, na sauti ikasikilika toka katikati ya lile wingu ikisema: “Huyu ni Mwana wangu mupendwa. Mumusikilize!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Likawako wingu, likawatia uvuli: sauti ikatoka katika lile wingu, Huyu ui Mwana wangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.