Matthew 1:13 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zerubabeli alimzaa Abiudi, Abiudi alimzaa Eliakimu, Eliakimu alimzaa Azori,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zerubabeli akamzaa Abihudi, Abihudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zerubabeli alikuwa baba yake Abiudi. Abiudi alikuwa baba yake Eliakimu. Eliakimu alikuwa baba yake Azori.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zerobabeli alimzaa Abiudi, Abiudi alimzaa Eliakimu, Eliakimu alimzaa Azori,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zerubabeli alimzaa Abiudi, Abiudi alimzaa Eliakimu, Eliakimu alimzaa Azori,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliyakimu akamzaa Azori,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zerubabeli alimzaa Abiudi, Abiudi alimzaa Eliakimu, Eliakimu alimzaa Azori,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zerubabeli akamzaa Abihudi, Abihudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azoro,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Zerubbabel akamzaa Ahihud; Ahihud akamzaa Eliakim; Eliakim akamzaa Azor;