Matthew 1:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu akamzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ibrahimu alikuwa baba yake Isaka. Isaka alikuwa baba yake Yakobo. Yakobo alikuwa baba wa Yuda na ndugu zake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu akamzaa Isaki, Isaki akamzaa Yakobo, Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu akamzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburahamu alimzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akamzaa Yuda na nduguze,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi hesabu ya vizazi vyote tangia Abrahamu mpaka Daudi ni vizazi kumi na vine, na tangia Daudi mpaka Waisraeli walipohamishwa kwenda Babeli ni vizazi kumi na vine, na tangia Waisraeli walipohamishwa kwenda Babeli mpaka kuzaliwa kwa Kristo ni vizazi kumi na vine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ibrahimu alimzaa Isaak; Isaak akamzaa Yakob; Yakob akamzaa Yuda na ndugu zake;