Matthew 1:21 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye ndiye atakayewaokoa watu wake katika dhambi zao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye atamzaa mwana, nawe utamwita jina Isa, kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Atamzaa mwana, nawe utamwita Yesu. Utampa jina hilo Yesu kwa sababu yeye atawaokoa watu wake kutoka dhambi zao.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye ndiye atakayewaokoa watu wake katika dhambi zao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu, kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Isa, kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye ndiye atakayewaokoa watu wake katika dhambi zao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atazaa mtoto mwanamume, naye utamwita jina lake Yesu. Kwani yeye ndiye atakayewaokoa watu wake katika makosa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae atazaa mtoto mwanamume, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, ndiye atakaewaokoa watu wake na dhambi zao.