Matthew 1:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yese akamzaa Daudi, aliyekuwa mfalme. Daudi akamzaa Sulemani, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yese akamzaa mfalme Daudi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yese alikuwa baba yake Mfalme Daudi. Daudi alikuwa baba yake Sulemani. (Mama yake Sulemani alikuwa mke wa Uria.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa mke wa Uria).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi akamzaa Sulemani, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yese akamzaa mfalme Daudi. Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isai akamzaa mfalme Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yese akamzaa mfalme Daudi. Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye atazaa mutoto mwanaume, nawe utamwita jina lake Yesu, kwa maana ndiye atakayewaokoa watu wake toka katika zambi zao.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yese akamzaa mfalme Daud. Mfalme Daud na mke wa Uria wakamzaa Suleman;