Matthew 10:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya: Wa kwanza ni Simoni aitwaye Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohane ndugu yake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndiyo majina ya hao mitume kumi na wawili: wa kwanza, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Haya ni majina ya mitume kumi na wawili: Simoni (ambaye pia aliitwa Petro), Andrea, kaka yake Petro, Yakobo, mwana wa Zebedayo, Yohana, kaka yake Yakobo,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya: wa kwanza ni Simoni aitwae Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohane ndugu yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya: wa kwanza ni Simoni aitwaye Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohane ndugu yake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo majina ya hao wanafunzi kumi na wawili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo majina ya hao mitume kumi na wawili: wa kwanza, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya: Wa kwanza ni Simoni aitwaye Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohane ndugu yake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majina yao wale mitume kumi na wawili ndiyo haya: Wa kwanza Simoni anayeitwa Petero na Anderea nduguye, Yakobo wa Zebedeo na Yohana nduguye,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na haya ndiyo majina ya hao mitume wake kumi na wawili: kwanza Simoni (anayeitwa vilevile Petro) na ndugu yake Andrea; Yakobo na ndugu yake Yoane, ambao ni wana wa Zebedayo;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na majina ya mitume thenashara ni haya: Wa kwanza Simon aliyekwitwa Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake;