Matthew 10:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana si nyinyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho wa Baba yenu atakayekuwa akinena kupitia kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Si ninyi mtakaoongea; Roho wa Baba Mungu wenu atakuwa anaongea kupitia ninyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana si ninyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana si nyinyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho wa Baba yenu atakayekuwa akinena kupitia kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho wa Mwenyezi Mungu, Baba yenu, atakayekuwa akinena kupitia kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana si nyinyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani si ninyi mnaosema, ila ni Roho wa Baba yenu; ndiye anayesema vinywani mwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno mutakayoyasema hayatatoka kwenu, lakini yatatoka kwa Roho wa Baba wenu Mungu atakayesema ndani yenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa si ninyi msemao, bali Roho ya Baba yenu asemae ndani yenu.