Matthew 10:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninalowaambieni nyinyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinongonezwa, litangazeni hadharani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinong’onwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninayowaambia ninyi faraghani myaseme hadharani. Kila ninachowanong'oneza nawataka mkiseme kwa sauti kila mtu asikie.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninalowaambieni ninyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinong'onezwa, litangazeni hadharani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninalowaambieni nyinyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinong'onezwa, litangazeni hadharani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe na lile mnalosikia likinong'onwa, masikioni mwenu, lihubirini kwenye paa la nyumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinong’onwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninalowaambieni nyinyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinongonezwa, litangazeni hadharani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninalowaambia gizani lisemeni mwangani! Tena ninalowanong'oneza masikioni, litangazeni barazani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno ninalowaambia katika giza, muliseme muchana kati. Vilevile neno munalosikia kwa siri, mulitangaze mukisimama juu ya paa ya nyumba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni kalika nuru; na msikialo kwa siri, likhubirini juu ya nyumba.