Matthew 10:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Filipo na Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtozaushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Filipo, Bartholomayo, Thomaso, Mathayo, mtoza ushuru, Yakobo, mwana wa Alfayo, Thadayo,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Filipo na Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Filipo na Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtozaushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa kwanza, Simoni, aitwaye Petro na Andrea nduguye, Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana nduguye, Filipo na Bartholomayo, Tomasi na Mathayo mtoza ushuru, Yakobo mwana wa Alfayo na Thadayo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Filipo na Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtozaushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Filipo na Bartolomeo, Toma na Mateo, mtoza kodi, Yakobo wa Alfeo na Tadeo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Thadayo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kisha Filipo na Bartolomayo, Toma na Matayo aliyekuwa mulipishaji wa kodi; Yakobo mwana wa Alfayo, na Tadeo;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Filipo, na Bartolomayo, na Tomaso, na Mattayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Lebbayo, aliyekwitwa Thaddayo;