Matthew 11:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Huyu ndiye anayesemwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia njia yako’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: “ ‘Tazama nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo ndiye aliyeandikiwa haya, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu Mbele ya uso wako, Atakayeitengeneza njia yako mbele yako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Andiko hili liliandikwa kuhusu Yohana: ‘Sikiliza! Nitamtuma mjumbe mbele yako. Yeye ataandaa njia kwa ajili yako.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Huyu ndiye anayesemwa katika Maandiko Matakatifu: Tazama, hapa namtuma mjumbe wangu, asema Bwana, akutangulie na kukutayarishia njia yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Huyu ndiye anayesemwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia njia yako’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyo ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: “ ‘Tazama namtuma mjumbe mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: “ ‘Tazama nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo ndiye aliyeandikiwa haya, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu Mbele ya uso wako, Atakayeitengeneza njia yako mbele yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Huyu ndiye anayesemwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia njia yako’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo ndiye aliyeandikiwa: Utaniona mimi, nikimtuma mjumbe wangu, akutangulie, aitengeneze njia yako mbele yako.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo ndiye aliyeandikiwa haya, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu Mbele ya uso wako, Atakayeitengeneza njia yako mbele yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huyu ndiye maneno haya yameandikwa juu yake katika Maandiko Matakatifu: ‘Ninamutuma mujumbe wangu akutangulie, kusudi akutengenezee njia utakayopitia!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana huyo ndiye aliyeandikiwa, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako. Atakaeitengeneza njia yako mbele yako.