Matthew 11:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafundisho yote ya manabii na sheria mpaka wakati wa Yohane yalibashiri juu ya nyakati hizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri hadi wakati wa Yahya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kabla ya Yohana kuja, Sheria ya Musa na manabii wote wamesema kuhusu mambo ambayo yangetokea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mafundisho yote ya manabii na sheria yalibashiri juu ya nyakati hizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafundisho yote ya manabii na sheria mpaka wakati wa Yohane yalibashiri juu ya nyakati hizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yahya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafundisho yote ya manabii na sheria mpaka wakati wa Yohane yalibashiri juu ya nyakati hizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Wafuambuaji wote nayo Maonyo waliufumbua, mpaka Yohana akitokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana mambo hayo yalitangazwa na manabii wote na Sheria ya Musa mpaka wakati wa Yoane.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.