Matthew 11:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Elia ambaye angekuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Ilya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ikiwa mnaamini waliyosema, basi Yohana ni Eliya. Ndiye waliyesema angekuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Eliya ambaye angekuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Elia ambaye angekuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye (Yohana) ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Ilya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mwaweza kukubali basi, Yohane ndiye Elia ambaye angekuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kama mnataka kuitikia: Yeye ndiye Elia atakayekuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ikiwa munasadiki, Yoane ndiye nabii Elia aliyepaswa kuja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ikiwa mantaka kukubali, yeye ndiye Elia atakaekuja.