Matthew 11:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nakuambia kwamba, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ya hukumu kuliko wewe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini nawaambieni, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma kustahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ninakuambia, itakuwa vibaya kwako siku ya hukumu kuliko Sodoma.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini nawaambieni, Siku ya hukumu itakuwa nafuu zaidi kwa watu wa Sodoma, kuliko kwako wewe.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nakuambia kwamba, Sodoma itastahimili zaidi katika siku ile ya hukumu kuliko wewe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nakuambia kwamba, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ya hukumu kuliko wewe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nawaambieni, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma kustahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nawaambieni, siku ya hukumu wewe utapata adhabu kubwa kuliko ya Sodoma.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nawaambiani: Siku ile ya hukumu nchi ya Sodomu itapata machungu yaliyo madogo kuliko yako.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini nawaambieni, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma kustahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo ninawaambia kwamba kwa Siku ya hukumu, wewe utaazibiwa zaidi kuliko watu wa Sodoma!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nawaambieni, itakuwa rakhisi inchi ya Sodom istahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe.