Matthew 11:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, Baba, ndivyo ilivyokupendeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, Baba, ulifanya hivi kwa sababu hakika ndivyo ulivyotaka kufanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naam Baba, ndivyo ilivyokupendeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, Baba, ndivyo ilivyokupendeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, Baba, ndivyo ilivyokupendeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio, Baba, kwani hivyo ndivyo, ulivyopendezwa navyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo, Baba, hayo yote ni kutokana na mapenzi yako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele yako.