Matthew 12:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mafarisayo wakatoka nje na kupanga njama ya kumuua Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wale Mafarisayo wakatoka wakafanya shauri juu yake jinsi ya kumwangamiza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Mafarisayo waliondoka na wakaweka mipango ya kumuua Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mafarisayo wakatoka nje wakafanya shauri baya juu ya Yesu jinsi watakavyoweza kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri baya juu ya Isa jinsi watakavyoweza kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wale Mafarisayo wakatoka wakafanya shauri juu yake jinsi ya kumwangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mafariseo wakatoka, wakamlia njama ya kumwangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wale Mafarisayo wakatoka wakafanya shauri juu yake jinsi ya kumwangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafarisayo wakaondoka pale na kwenda kufanya shauri la kumwua Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Mafarisayo wakatoka wakamfanyia shauri la kumwangamiza.