Matthew 12:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawaamuru wasiwaambie watu habari zake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akiwakataza wasiseme yeye ni nani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawakataza wasimdhihirishe;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
lakini aliwaonya wasiwaambie wengine yeye alikuwa nani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akawaamuru wasiwaambie watu habari zake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawaamuru wasiwaambie watu habari zake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akiwakataza wasiseme yeye ni nani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akiwakataza wasiseme yeye ni nani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawakataza wasimdhihirishe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawaamuru wasiwaambie watu habari zake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wengi wakamfuata, akawaponya wote;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawakataza wasimdhihirishe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaagiza wasimutambulishe kwa watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akawaagiza wasimdhihirishe;