Matthew 12:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili yale aliyosema Mungu kwa njia ya nabii Isaya yatimie:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili neno lililonenwa na nabii Isaya litimie, aliposema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii ilikuwa ni kuthibitisha kile ambacho nabii Isaya alisema alipozungumza kwa niaba ya Mungu:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili yale aliyosema Mungu kwa njia ya nabii Isaya yatimie:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili yale aliyosema Mungu kwa njia ya nabii Isaya yatimie:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini akawatisha, wasimtangaze, kusudi litimie, mfumbuaji Yesaya alilolisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilitokea vile kusudi yatimie maneno haya Mungu aliyoyasema kwa njia ya nabii Isaya:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema,