Matthew 12:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatagombana wala kupaza sauti, wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatateta wala hatapaza sauti yake; Wala mtu hatasikia sauti yake njiani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hatabishana au kupiga kelele; hakuna atakayesikia sauti yake mitaani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatagombana wala hatapiga kelele, wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatagombana wala hatapiga kelele, wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatateta wala hatapaza sauti yake; Wala mtu hatasikia sauti yake njiani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatateta, wala hatapiga kelele, wala mtu hatamsikia kinywa chake majiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatateta wala hatapaza sauti yake; Wala mtu hatasikia sauti yake njiani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatabishana wala kupiga kelele, wala hakuna atakayesikia sauti yake katika barabara.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatateta, wala hatapaaza sauti yake; Wala mtu hatasikia sauti yake njiani.