Matthew 12:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shetani akimtoa Shetani, atakuwa amegawanyika yeye mwenyewe. Basi ufalme wake utawezaje kusimama?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Shetani akimtoa Shetani, amefitinika juu ya nafsi yake; basi ufalme wake utasimamaje?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo ikiwa Shetani anayafukuza mashetani yake mwenyewe, anapigana kinyume chake yeye mwenyewe, na ufalme wake hautaishi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama Shetani akimtoa Shetani, atakuwa amegawanyika yeye mwenyewe. Basi ufalme wake utawezaje kusimama?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama Shetani akimtoa Shetani, atakuwa amegawanyika yeye mwenyewe. Basi ufalme wake utawezaje kusimama?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Shetani akimtoa Shetani, amefitinika juu ya nafsi yake; basi ufalme wake utasimamaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Satani akimfukuza Satani mwenziwe amejigombanisha mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamikaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Shetani akimtoa Shetani, amefitinika juu ya nafsi yake; basi ufalme wake utasimamaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama Shetani akimufukuza Shetani anajigombanisha yeye mwenyewe, nao ufalme wake utaanguka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Shetani akimfukuza Shetani, amefitinika na nafsi yake; bassi ufalme wake utasimamaje?