Matthew 12:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeyote ambaye hayuko pamoja nami yu kinyume nami. Na yeyote ambaye hakusanyi pamoja nami hutawanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Yeyote asiyejiunga nami, anapingana nami; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiye wa upande wangu hunikataa; naye asiyekusanya pamoja nami hutapanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Asiyekuwa wa upande wangu ni adui yangu; na asiyekusanya pamoja nami, anasambaza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu asiye upande wangu yu kinyume changu; na mtu asivekusanya pamoja nami hutapanya.