Matthew 12:43 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani kukavu akitafuta mahali pa kupumzika asipate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Roho chafu inapotoka kwa mtu, husafiri katika sehemu kavu ikitafuta mahali pa kupumzika, lakini haipati mahali pa kupumzika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani akitafuta mahali pa kupumzika asipate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani kukavu akitafuta mahali pa kupumzika asipate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani kukavu akitafuta mahali pa kupumzika asipate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pepo mchafu anapomtoka mtu hupita mahali pasipo na maji akitafuta kituo asikione.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wakati pepo imekwisha kutoka ndani ya mutu, inazungukazunguka katika jangwa kutafuta nafasi ya kupumzikia. Naye asipopata nafasi ile,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupita kati ya pahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.