Matthew 12:44 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo hujisemea: ‘Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka’. Lakini anaporudi na kuikuta tupu, imefagiwa na kupambwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’ Naye anaporudi huikuta ile nyumba ikiwa tupu, imefagiliwa na kupangwa vizuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Inapokosa mahali pa kupumzika, husema, ‘Nitarudi katika nyumba niliyotoka.’ Inaporudi, ikakuta nyumba hiyo bado ni tupu, ikiwa safi na nadhifu,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo hujisemea: Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka. Lakini anaporudi na kuikuta tupu, imefagiwa na kupambwa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo hujisemea: ‘Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka’. Lakini anaporudi na kuikuta tupu, imefagiwa na kupambwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye ile nyumba yangu nilikotoka,’ Naye arudipo huikuta ile nyumba ikiwa tupu, imefagiliwa na kupangwa vizuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’ Naye arudipo huikuta ile nyumba ikiwa tupu, imefagiliwa na kupangwa vizuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo hujisemea: ‘Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka’. Lakini anaporudi na kuikuta tupu, imefagiwa na kupambwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Halafu husema: Nitarudi nyumbani mwangu, nilimotoka. Anapokuja huiona, ni tupu, tena imefagiwa na kupambwa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anasema: ‘Nitarudi ndani ya nyumba yangu nilimotoka.’ Anaporudi, anaikuta wazi bila kitu, nayo imefagiliwa na kupambwa vizuri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Khalafu hunena, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa.