Matthew 12:49 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akaunyosha mkono wake kuelekea wanafunzi wake, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawanyooshea mkono wanafunzi wake, akasema, “Hawa hapa ndio mama yangu na ndugu zangu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawanyoshea mkono wanafunzi wake, akasema, Tazama, Mama yangu na ndugu zangu!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akanyoosha kidole kwa wafuasi wake na akasema, “Unaona! Watu hawa ni mama yangu na ndugu zangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akaunyosha mkono wake kuelekea wanafunzi wake, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akaunyosha mkono wake kuelekea wanafunzi wake, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiwanyoshea mkono wanafunzi wake, akasema, “Hawa hapa ndio mama yangu na ndugu Zangu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawanyooshea mkono wanafunzi wake, akasema, “Hawa hapa ndio mama yangu na ndugu zangu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawanyoshea mkono wanafunzi wake, akasema, Tazama, Mama yangu na ndugu zangu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akaunyosha mkono wake kuelekea wanafunzi wake, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawanyoshea wanafunzi wake mkono, akasema: Watazameni walio mama yangu na ndugu zangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawanyoshea mkono wanafunzi wake, akasema, Tazama, Mama yangu na ndugu zangu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawanyooshea wanafunzi wake mukono, na kusema: “Angalia, hawa ndio mama yangu na wandugu zangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawanyoshea mkono wanafunzi wake, akasema. Tazama, Mama yangu na ndugu zangu!