Matthew 12:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alitoka hapo, akaenda katika sunagogi lao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kutoka hapo Yesu alikwenda katika sinagogi lao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alitoka hapo, akaenda katika sunagogi lao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alitoka hapo, akaenda katika sunagogi lao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akaondoka mahali hapo, akaingia katika sinagogi lao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alitoka hapo, akaenda katika sunagogi lao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoondoka huko akaenda kuingia katika nyumba yao ya kuombea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akaondoka ngambo za kule, na kwenda ndani ya nyumba moja ya kuabudia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaondoka huko, akaiugia katika sunagogi lao.