Matthew 13:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku hiyo hiyo Yesu alitoka nje ya nyumba na kukaa kando ya ziwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku iyo hiyo Yesu akatoka nje ya nyumba akaketi kando ya bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku iyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile Yesu alitoka nyumbani, akaenda kukaa kandokando ya bahari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile ile, Yesu akatoka ndani ya nyumba na kwenda kuikaa pembeni ya ziwa kwa kufundisha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
SIKU ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.