Matthew 13:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: ‘Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa. Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama lakini hamtaona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hiyo inathibitisha alichosema nabii Isaya kuhusu wao kuwa kweli: ‘Ninyi watu mtasikia na kusikia, lakini hamtaelewa. Mtatazama na kutazama, lakini hakika hamtaona.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: ‘Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa. Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa, na pia mtatazama lakini hamtaona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama lakini hamtaona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: ‘Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa. Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ufumbuo wa Yesaya unatimizwa kwao unaosema: Kusikia mtasikia, lakini hamtajua maana; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi yametimia kwao maneno haya yaliyosemwa na Mungu kwa njia ya nabii Isaya: ‘kusikia, mutasikia, lakini hamutafahamu; kuangalia, mutaangalia, lakini hamutaona.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likinena, Kusikia mtasikia, wala hamtafahamu; Mkitazama mtatazama, wala hamtaona: