Matthew 13:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bahati gani mliyonayo ninyi. Mnaelewa mnachokiona kwa macho yenu. Na mnaelewa mnachosikia kwa masikio yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Lakini heri yenu ninyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini heri macho yenu, kwa sababu yanaona na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yenye shangwe ni macho yenu, kwani huona, nayo masikio yenu, kwani husikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini heri kwenu, kwa sababu macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini ya kheri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.