Matthew 13:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja, akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wakati kila mtu alipokuwa amelala, adui yake akaja na kupanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usiku ule, kila mtu alipokuwa amelala, adui wa yule mtu akaja na kupanda magugu katikati ya ngano kisha akaondoka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja, akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakati kila mtu alipokuwa amelala, adui yake akaja na kupanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wakati kila mtu alipokuwa amelala, adui yake akaja na kupanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja, akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watu walipolala, akaja mchukivu wake, akamiaga mbegu za nyasi katikati ya ngano, akaenda zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini siku moja usiku, wote walipokuwa wakilala usingizi, adui wa mutu yule akakuja na kupanda nyasi katikati ya ngano; kisha akajiendea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya nganu, akaenda zake.