Matthew 13:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwambia, ‘Bwana, bila shaka ulipanda mbegu nzuri katika shamba lako. Sasa magugu yametoka wapi?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watumishi wa yule mwenye shamba wakamjia na kumwambia, ‘Bwana, si tulipanda mbegu nzuri shambani mwako? Basi, magugu yametoka wapi?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watumwa wa mwenye shamba wakaja na akasema, ‘Bwana ulipanda mimea mizuri kwenye shamba lako. Magugu yametoka wapi?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwambia, Mheshimiwa, bila shaka ulipanda mbegu nzuri katika shamba lako. Sasa magugu yametoka wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwambia, ‘Bwana, bila shaka ulipanda mbegu nzuri katika shamba lako. Sasa magugu yametoka wapi?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watumishi wa yule mwenye shamba wakamjia na kumwambia, ‘Bwana, si tulipanda mbegu nzuri shambani mwako? Basi, magugu yametoka wapi?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watumishi wa yule mwenye shamba wakamjia na kumwambia, ‘Bwana, si tulipanda mbegu nzuri shambani mwako? Basi, magugu yametoka wapi?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika shamba lako? Limepata wapi basi magugu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwambia, ‘Bwana, bila shaka ulipanda mbegu nzuri katika shamba lako. Sasa magugu yametoka wapi?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumwa wa mwenye shamba wakaja wakamwuliza: Bwana, hukumiaga mbegu nzuri katika shamba lako? Basi, nyasi limezipata wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watumishi wa mwenye shamba wakamwendea na kumwuliza: ‘Ee Bwana, si ulipanda mbegu nzuri katika shamba lako? Basi nyasi hizi zimetoka wapi?’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watumishi wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? limepatapi bassi magugu?