Matthew 13:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye akawajibu, ‘Adui ndiye aliyefanya hivyo’. Basi, watumishi wake wakamwuliza, ‘Je, unataka twende tukayangoe?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Akawajibu, ‘Adui ndiye alifanya jambo hili.’ “Wale watumishi wakamuuliza, ‘Je, unataka twende tukayang’oe?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule mtu akajibu, ‘Adui alipanda magugu.’ Wale watumwa wakauliza, ‘Je, unataka twende na kung'oa magugu?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye akawajibu, Adui ndiye aliyefanya hivyo. Basi, watumishi wake wakamwuliza, Je, unataka twende tukayang'oe
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye akawajibu, ‘Adui ndiye aliyefanya hivyo’. Basi, watumishi wake wakamwuliza, ‘Je, unataka twende tukayang'oe?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Akawajibu, ‘Adui ndiye aliyefanya jambo hili.’ “Wale watumishi wakamwuliza, ‘Je, unataka twende tukayang'oe?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Akawajibu, ‘Adui ndiye alifanya jambo hili.’ “Wale watumishi wakamuuliza, ‘Je, unataka twende tukayang’oe?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye akawajibu, ‘Adui ndiye aliyefanya hivyo’. Basi, watumishi wake wakamwuliza, ‘Je, unataka twende tukayangoe?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowaambia: Mtu aliye mchukivu amevifanya hivyo, watumwa wakamwambia: Unataka, twende, tuzing'oe na kuzikusanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akawajibu: ‘Ni adui aliyefanya vile.’ Basi watumishi wakamwuliza: ‘Unataka tuende kuongoa zile nyasi?’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumishi wakamwambia, Bassi, wataka twende tukayakusanye?