Matthew 13:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkangoa na ngano pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang’oe, kwa maana wakati mking’oa magugu mnaweza mkang’oa na ngano pamoja nayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akajibu, ‘Hapana, kwa sababu mtakapokuwa mnang'oa magugu, mtaweza pia kung'oa ngano.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akawajibu, La, msije labda mnapokusanya magugu, mkang'oa na ngano pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkang'oa na ngano pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang'oe, kwa maana wakati mking'oa magugu mnaweza mkang'oa na ngano pamoja nayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang’oe, kwa maana wakati mking’oa magugu mnaweza mkang’oa na ngano pamoja nayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkangoa na ngano pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Hapana, msije, mkazing'oa nazo ngano mkiwa mnakusanya nyasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini akajibu: ‘Hapana, mukiongoa nyasi, labda mutafikia kuongoa ngano pamoja nazo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema, La; labuda wakati wa kukusanya magugu, mtangʼoa na nganu pamoja nayo.