Matthew 13:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lile shamba ni ulimwengu. Zile mbegu nzuri ni watu wale ambao ufalme ni wao. Lakini yale magugu ni wale watu wa yule Mwovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lile konde ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Shamba ni ulimwengu. Mbegu nzuri ni watoto katika ufalme wa Mungu. Magugu ni watu wa Yule Mwovu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lile shamba ni ulimwengu. Zile mbegu nzuri ni watu wale ambao Ufalme ni wao. Lakini yale magugu ni wale watu wa yule Mwovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lile shamba ni ulimwengu. Zile mbegu nzuri ni watu wale ambao ufalme ni wao. Lakini yale magugu ni wale watu wa yule Mwovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lile shamba ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lile shamba ni ulimwengu. Zile mbegu nzuri ni watu wale ambao ufalme ni wao. Lakini yale magugu ni wale watu wa yule Mwovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo shamba ndio ulimwengu. Nazo mbegu nzuri ndio wana wa ufalme. Lakini nyasi ndio wana wa yule Mbaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lile konde ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shamba ni dunia. Mbegu nzuri ni washiriki wa Ufalme. Nyasi ni washiriki wa yule Mwovu Shetani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na lile konde ni ulimwengu; na zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu;