Matthew 13:39 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adui aliyepanda yale magugu ni Ibilisi. Mavuno ni mwisho wa nyakati na wavunaji ni malaika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yule adui aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na adui aliyepanda mbegu mbaya ni ibilisi. Mwisho wa nyakati ndiyo wakati wa mavuno. Wafanyakazi wanaokusanya ni malaika wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Adui aliyepanda yale magugu ni Ibilisi. Mavuno ni mwisho wa nyakati na wavunaji ni malaika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adui aliyepanda yale magugu ni Ibilisi. Mavuno ni mwisho wa nyakati na wavunaji ni malaika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yule adui aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adui aliyepanda yale magugu ni Ibilisi. Mavuno ni mwisho wa nyakati na wavunaji ni malaika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mchukivu aliyezimiaga ndiye Msengenyaji. Nayo mavuno ndio mwisho wa dunia. Nao wavunaji ndio malaika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yule adui aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Adui aliyepanda nyasi ni Shetani. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni wamalaika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na yule adui aliyeyapanda ni shetani; na mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika.