Matthew 13:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile magugu yanavyokusanywa na kuchomwa moto, ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama vile magugu yang’olewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Magugu hung'olewa na kuchomwa motoni. Itakuwa vivyo hivyo nyakati za mwisho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama vile magugu yanavyokusanywa kuchomwa moto, ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile magugu yanavyokusanywa na kuchomwa moto, ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama vile magugu yang'olewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama vile magugu yang’olewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile magugu yanavyokusanywa na kuchomwa moto, ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nyasi zinavyokusanywa na kuteketezwa motoni, ndivyo, itakavyokuwa katika mwisho wa dunia hii:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile nyasi zinavyoongolewa kwa kuchomwa katika moto, ndivyo itakavyokuwa vilevile kwa mwisho wa dunia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia hii.