Matthew 13:42 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuwatupa katika tanuri ya moto, na huko watalia na kusaga meno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuwatupa katika tanuru ya moto, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watawatupia katika tanuru la moto. Huko watu watakuwa wakilia na kusaga meno kwa maumivu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kuwatupa katika tanuru ya moto, na huko watalia na kusaga meno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuwatupa katika tanuri ya moto, na huko watalia na kusaga meno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuwatupa katika tanuri ya moto, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuwatupa katika tanuri ya moto, na huko watalia na kusaga meno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wawatupe shimoni mwa moto; ndiko, kitakakokuwa kilio na kukereza meno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuwatupa katika tanuru ya moto, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watawatupa ndani ya furu la moto, na mule watalia na kusaga meno.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.