Matthew 13:43 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, wale wema watangara kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio na asikie!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wenye haki watang’aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wenye haki watakapong'aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio, na asikie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha wenye haki watang'aa kama jua. Watakuwa katika ufalme wa baba yao. Ninyi watu, mlio na masikio, sikilizeni!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha, wale wema watang'ara kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Sikieni basi, kama mna masikio!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, wale wema watang'ara kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio na asikie!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wenye haki watang'aa kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wenye haki watang’aa kama jua katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu, Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wenye haki watakapong'aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio, na asikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, wale wema watangara kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio na asikie!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, waongofu watakapoangaza kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio yanayosikia na asikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wenye haki watakapong’aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio, na asikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wenye haki watametameta kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Mwenye kuwa na masikio ya kusikia, asikie!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.