Matthew 13:45 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara aliyekuwa akitafuta lulu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia, ufalme wa Mungu unafanana na mchuuzi anayetafuta lulu safi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Tena, Ufalme wa mbinguni umefanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tena, Ufalme wa Mbinguni unafanana na mfanya biashara aliyekuwa akitafuta lulu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tena, Ufalme wa Mbinguni unafanana na mfanyabiashara aliyekuwa akitafuta lulu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ufalme wa mbingu umefanana na mchuuzi aliyetafuta ushanga wa lulu nzuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ufalme wa mbinguni unafanana vilevile na muchuuzi mumoja aliyetafuta kununua ushanga muzuri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mfanya biashara, afafutae lulu nzuri: