Matthew 13:47 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tena, ufalme wa mbinguni ni kama wavu wa kuvua samaki uliotupwa baharini ukavua samaki wa kila aina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya samaki wa kila namna;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia, ufalme wa Mungu unafanana na nyavu kubwa iliyowekwa katika ziwa. Nyavu ile ikavua aina nyingi tofauti ya samaki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Tena, Ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama wavu wa kuvua samaki uliotupwa baharini ukavua samaki wa kila aina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama wavu wa kuvua samaki uliotupwa baharini ukavua samaki wa kila aina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya samaki wa kila namna;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ufalme wa mbingu umefanana na wavu uliotupwa baharini, ukakusanya samaki wa kila mtindo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya samaki wa kila namna;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ufalme wa mbinguni unafanana vilevile na wavuvi wamoja waliotupa wavu ndani ya ziwa, nao ukakusanya samaki wa kila namna.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya za killa namna: