Matthew 13:48 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulipojaa, wavuvi wakauvuta ufuoni, wakaketi na kukusanya samaki wazuri kuwaweka kwenye vyombo safi, lakini wale samaki wabaya wakawatupa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata lilipojaa, walilivuta pwani; wakaketi, wakakusanya walio wema vyomboni, bali walio wabaya wakawatupa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikajaa, hivyo wavuvi wakaivuta mpaka pwani. Wakakaa chini na kutoa samaki wote wazuri na kuwaweka kwenye kikapu. Kisha wakawatupa samaki wabaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulipojaa, wavuvi wakavuta pwani, wakaketi na kukusanya samaki wazuri kuwaweka kwenye vyombo safi, lakini wale samaki wabaya wakawatupa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulipojaa, wavuvi wakavuta pwani, wakaketi na kukusanya samaki wazuri kuwaweka kwenye vyombo safi, lakini wale samaki wabaya wakawatupa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata lilipojaa, walilivuta pwani; wakaketi, wakakusanya walio wema vyomboni, bali walio wabaya wakawatupa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata ulipojaa, wakauvuta pwani, wakakaa, wakawachagua samaki, walio wazuri wakawaweka vyomboni, lakini walio wabaya wakawatupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata lilipojaa, walilivuta pwani; wakaketi, wakakusanya walio wema vyomboni, bali walio wabaya wakawatupa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wavu ulipojaa, wavuvi wakaukokota inchi kavu. Halafu wakaikaa kwa kuchagua samaki: wakaweka samaki wazuri ndani ya vyombo na kutupa samaki wabaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hatta lilipojaa, wakalipandisha pwani; wakaketi, wakakusanya zilizo njema vyomboni, bali zilizo mbaya wakazitupa.