Matthew 13:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nyingine zikaanguka penye miamba, pasipokuwa na udongo mwingi; mara zikaota, kwa udongo kukosa kina;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mbegu zingine ziliangukia kwenye ardhi yenye mawe, ambako hakukuwa na udongo wa kutosha. Zikakua haraka pale, kwa sababu udongo haukuwa na kina.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyingine zikaanguka sehemu yenye mawe, ambapo hapana udongo mwingi. Zikaota haraka kwa sababu udongo ulikuwa hauna kina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nyingine zikaanguka penye miamba, pasipokuwa na udongo mwingi; zikaota haraka, kwa kukosa udongo wenye kina;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyingine zikaangukia penye miamba pasipo na udongo mwingi. Kuota zikaota upesi kwa kuwa na udongo kidogo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nyingine zikaanguka penye miamba, pasipokuwa na udongo mwingi; mara zikaota, kwa udongo kukosa kina;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zingine zikaanguka pahali penye mawe, pasipokuwa udongo mwingi. Nazo zikaota upesi, kwa sababu hapakukuwa udongo mwingi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nyingine zikaanguka penye miamba, pasipokuwa udongo mwingi: marra zikaota, kwa kuwa na udongo haba;