Matthew 13:56 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na maumbu yake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na dada zake bado wanaishi hapa katika mji huu? Anawezaje kutenda mambo haya?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi amepata wapi haya yote?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao dada zake wote hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na dada zake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao maumbu zake hawako wote kwetu? Basi, huyu amepata wapi haya yote? Wakajikwaa kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na maumbu yake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wadada zake, si wanaishi hapa kati yetu? Basi amepata mambo haya yote kutoka wapi?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na maumbu yake, wote hawako kwetu? Bassi huyu amepata wapi haya yote?