Matthew 13:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua lilipochomoza, ziliteketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na jua lilipozuka ziliungua; na kwa kuwa hazina mizizi zikanyauka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini jua lilipowaka, likaichoma mimea. Mimea ikafa kwa sababu haikuwa na mizizi mirefu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jua lilipochomoza, zilichomeka; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua lilipochomoza, ziliteketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini jua lilipozidi, mimea hiyo ilinyauka na kukauka kwa sababu mizizi yake haikuwa na kina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini jua lilipozuka ziliungua; na kwa kuwa hazina mizizi zikanyauka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua lilipochomoza, ziliteketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini jua lilipokuwa kali, zikanyauka, kwa kuwa hazina mizizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na jua lilipozuka ziliungua; na kwa kuwa hazina mizizi zikanyauka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati jua lilipokuwa kali, likazichoma, na kwa sababu hazikukuwa na mizizi mikubwa, zikakauka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na jua lilipozuka zikanyauka; na kwa kuwa hazina mizizi zikakauka.