Matthew 13:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyingine zikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea, ikazisonga;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya mbegu ziliangukia katikati ya miiba. Miiba ikakua na kusababisha mimea mizuri kuacha kukua.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbegu nyingine zilianguka katikati ya miiba, miiba hiyo ikakua ikazisonga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyingine zikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea, ikazisonga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyingine zikaangukia penye miiba; nayo miiba ilipoota ikazisonga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyingine zikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea, ikazisonga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbegu zingine zikaanguka katikati ya miiba. Ile miiba ikaota na kuzisonga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nyingine zikaanguka penye miiba; miiba ikamea, ikazisonga: