Matthew 14:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya watu waliokula walikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao waliokula walikuwa wanaume wapata elfu tano, bila wanawake na watoto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwepo wanaume 5,000, pamoja na wanawake na watoto waliokula.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi ya wale watu waliokula walikuwa wanaume 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idadi ya watu waliokula walikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao waliokula walikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliokula walikuwa waume tu kama 5000 pasipo wanawake na watoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao waliokula walikuwa wanaume wapata elfu tano, bila wanawake na watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu ya watu waliokula ilikuwa yapata wanaume elfu tano, pasipo kuhesabu wanawake na watoto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliokula walikuwa wanaume wapata elfu tano, bila wanawake na watoto.