Matthew 14:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisa ni kwamba Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuishi na huyo mwanamke!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa Yahya alikuwa amemwambia Herode: “Si halali kwako kuwa na huyo mwanamke.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu Yohana alimwambia, Si halali kwako kuwa naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yohana alikuwa amemwambia, “Si sahihi kwako kumwoa Herodia.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwamba alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuishi na huyo mwanamke!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisa ni kwamba Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuishi na huyo mwanamke!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa Yohana alikuwa amemwambia Herode kwamba, “Si halali kwako kuwa na huyo mwanamke.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa Yahya alikuwa amemwambia Herode: “Si halali kwako kuwa na huyo mwanamke.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu Yohana alimwambia, Si halali kwako kuwa naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisa ni kwamba Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuishi na huyo mwanamke!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yohana alimwambia: Ni mwiko kwako kuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu Yohana alimwambia, Si halali kwako kuwa naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yoane alikuwa amemwambia Herode kwamba hana sheria ya kumwoa yule muke wa ndugu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu Yohana alimwambia, Ni haramu kwako kukaa uae.