Matthew 14:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Herode alitaka kumuua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Herode alitaka sana kumuua Yahya, lakini akaogopa watu, kwa maana walimtambua kuwa ni nabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona Yohana kuwa nabii.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Herode alitaka kumwua, lakini aliwaogopa watu. Waliamini kuwa Yohana alikuwa nabii.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Herode alitaka kumwua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Herode alitaka kumuua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Herode alitaka sana kumwua Yohana, lakini akaogopa watu kwa maana walimtambua kuwa ni nabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Herode alitaka sana kumuua Yahya, lakini akaogopa watu, kwa maana walimtambua kuwa ni nabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona Yohana kuwa nabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Herode alitaka kumuua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alitaka kumwua, lakini aliwaogopa watu, kwani walimwona Yohana kuwa mfumbuaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona Yohana kuwa nabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Herode alitaka kumwua Yoane, lakini aliwaogopa watu kwa maana wote walimuhesabia Yoane kuwa nabii.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.