Matthew 14:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lo lote atakaloliomba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo aliapa kuwa atampa kitu chochote atakachotaka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti lo lote atakaloomba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lolote atakaloliomba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipomwapia kumpa cho chote, atakachomwomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lo lote atakaloliomba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hata akamwahidi kwa kiapo kwamba atamupa kitu chochote atakachomwomba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta akakiri kwa kiapo atampa lo lote atakaloliomba.