Matthew 14:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papa hapa katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo binti, akiwa amechochewa na mama yake, akasema, “Nipe kichwa cha Yahya kwenye sinia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye, huku akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Herodia alimshawishi binti yake kitu cha kuomba. Hivyo bintiye akamwambia Herode, “Nipe hapa kichwa cha Yohana Mbatizaji kwenye sahani kubwa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papahapa katika sinia kichwa cha Yohane mbatizaji.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papa hapa katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye akiwa amefundishwa na mama yake, huyo binti akasema, “Nipatie kichwa cha Yohana Mbatizaji kwenye sinia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyo binti, akiwa amechochewa na mama yake, akasema, “Nipe kichwa cha Yahya kwenye sinia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye, huku akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papa hapa katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye kwa hivyo, alivyokwisha kuhimizwa na mama yake, akasema: Nipe sasa hivi katika chano kichwa chake Yohana Mbatizaji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye, huku akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa ajili ya kusukumwa na mama yake, yule binti akamwambia Herode: “Unipe hapa hapa ndani ya sahani kichwa cha Yoane Mubatizaji!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae, akishawishwa na mama yake, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.