Matthew 15:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo baadhi ya Mafarisayo na walimu wa Torati wakamjia Isa kutoka Yerusalemu na kumuuliza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria kutoka Yerusalemu walimjia Yesu na kumwuliza,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha Mafarisayo na walimu wa Sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria wakamjia Yesu kutoka Yerusalemu na kumwuliza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo baadhi ya Mafarisayo na walimu wa Torati wakamjia Isa kutoka Yerusalemu na kumuuliza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipomjia Yesu Mafariseo na waandishi waliotoka Yerusalemu, wakasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafarisayo na walimu wa Sheria wakamufikia Yesu kutoka Yerusalema. Basi wakamwuliza:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
NDIPO waandishi na Mafarisayo toka Yerusalemi wakamwendea Yesu wakinena,